Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Hassan Abbas pamoja na Naibu Katibu mkuu wa Wizara hiyo CP Benedict Wakulyamba, viongozi mbalimbali pamoja na wananchi wengine wametembelea Banda la Wizara ya Maliasili na Utalii katika Maonesho ya SABASABA yanayoendelea jijini, Dar es Salaam.
Dkt. Abbas amesisitiza NCAA kuendelea kushirikiana na kushirikiana na wadau mbalimbali wa Uhifadhi na Utalii katika kuvitangaza vivutio vya utalii vilivyopo katika eneo la Hifadhi ya Ngorongoro
NCAASabasabaUpdates .
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...