Pichani katikati ni Meneja Mkuu wa Kampuni ya Uendelezaji Jotoardhi Tanzania Mhandisi Mathew Mwangomba akitoa maelezo kwa wateja waliofika kutembelea banda la TGDC katika maonesho ya 47 ya Biashara ga Kimataifa yanayoendelea Sabasaba jijini Dar es Salaam
Matukio mbalimbali katika picha wataalam wa TGDC wakitoa elimu kwa wananchi waliofika kwenye banda lao kupata maelezo mbalimbali kuhusu nishati ya Jotoardhi
Matukio mbalimbali katika picha wataalam wa TGDC wakitoa elimu kwa wananchi waliofika kwenye banda lao kupata maelezo mbalimbali kuhusu nishati ya Jotoardhi
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...