Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Afisa Uchumi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Urusi, Thomas Simon Mollely baada ya kuzungumza na wafanyabiashara wa Tanzania walioshiriki maonesho ya kibiashara kweye Jukwaa la Kimataifa la Uchumi na lakibinadamu la Afrika na Urusi lililomalizika Julai 28, 2023, St. Petersburg nchini humo. Katikati ni Balozi wa Tanzania nchini Urusi , Fredrick Kibuta. Mazungumzo hayo yalifanyika kwenye hoteli ya Lotte St. Petersburg, Julai 29, 2023.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Mjaliwa akizungumza na na wafanyabiashara wa Tanzania walioshiriki maonesho ya kibiashara kweye Jukwaa la Kimataifa la Uchumi na la kibinadamu la Afrika na Urusi lililomalika Julai 28, 2023, St. Petersburg nchini humo.Kushoto kwake ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo wa Zanzibar, Tabia Maulid Mwita anayefuatia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Mbarouk Nassoro Mbarouk. Mazungumzo hayo yalifanyika kwenye hoteli ya Lotte St. Petersburg, Julai 29, 2023.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...