Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifafanuliwa jambo na Mhandisi Ujenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara, Muharami Kilihindi, wakati alipokagua shughuli za ujenzi wa Kituo cha Afya Mkunwa Julai 08, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akzungumza na wananchi wa Nanguruwe wilayani Mtwara vijijini, Julai 08, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)





Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mganga Mkuu wa Wilaya Mtwara Vijijini, Dkt. Matayo Malaika, wakati alipokagua shughuli za ujenzi wa Kituo cha Afya Mkunwa Julai 08, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia dirisha, wakati alipokagua shughuli za ujenzi wa Kituo cha Afya Mkunwa Julai 08, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifafanuliwa jambo na Mhandisi Ujenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara, Muharami Kilihindi, wakati alipokagua shughuli za ujenzi wa Kituo cha Afya Mkunwa Julai 08, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi, ujenzi wa jingo la Utawala la Halmashauri ya Wilaya Mtwara - Mkunwa, Julai 08, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...