HABARI Njema kwako wewe mteja wa Meridianbet ni kwamba Meridianbet wamekuletea promosheni ya michezo ya virtual ambayo itakuwa na bonasi kubwa pamoja na kurejesha kiasi cha pesa uliyopoteza.
Michezo hiyo ipo mingi sana ukiingia kwenye tovuti ya Meridianbet kama vile michezo ya kasino na michezo ya kawaida ambayo utachagua wewe kucheza kuna mpira wa kikapu, tenisi, wavu, kriketi mpira wa miguu na mingine kibao kwa dau ulitakalo.
Baada ya kucheza moja kati ya hiyo michezo iliyopo kama ukishinda basi pia siku ya Jumatatu utapata bonasi kutoka Meridianbet, lakini pia kama utakuw ahujashinda unahakikishiwa kurudishiwa 15% ya kiasi cha pesa ambacho utakuwa umeweka.
Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. Meridianbet.co.tz.
Masharti ya Mchezo wa Virtual
❖ Promosheni hii imeanza siku ya Alhamisi tarehe 03 na itaisha hapo kesho tarehe 06 saa 6 usiku hivyo mteja wa Meridianbet kama bado hujaanza kucheza michezo ya Virtual muda ndio sasa.
❖ Promosheni hii itahusisha michezo ya Virtual tuu na sio mingine. Kwahiyo ukishaingia pale Meridianbet chagua michezo ya Virtual na ucheze sasa.
❖ Na wale ambao watakuwa ni washindi watapata bonasi zao siku ya Jumatatu saa 05 asubuhi. Ingia sasa www.meridianbet.co.tz na ucheze Virtual.
❖ Promosheni hii ni kwa wachezaji wote waliojisajili kwenye tovuti na APP ya Meridianbet.co.tz.
❖ Kwa kujisajili na Meridianbet.co.tz, kila mchezaji atakubaliana na sheria za promosheni.
❖ Ofa hii ni halali kwa mtumiaji mmoja, anuani ya IP au kaya.
❖ Meridianbet inahifadhi haki ya kubadilisha sheria za promosheni hii wakati wowote pamoja na kusitisha promosheni hii.
❖ Vigezo na Masharti kuzingatiwa
PIGA MKWANJA NA VIRTUAL
Kukusanya maokoto na Meridianbet ni kazi rahisi sana hasa ukizingatia kila promosheni zao wanazotoa kwani zinakufanya uwe na uhakika wa kupata pesa jinsi ambavyo unavyocheza mara nyingi na hatimaye kufanya wikendi yako kuwa murua kabisa. Ingia Meridianbet na ucheze sasa.
Promosheni hii ilianza Alhamisi ya tarehe 03 na mwihso ni kesho tarehe 06 hivyo changamkia fursa hii ukusanye mpunga ukafurahi na marafiki zao, ndugu, jamaa na wengine huku ukisubiria Ligi mbalimbali zianze wiki inayokuja.
Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.
Vilevile ukiwa unacheza michezo ya Virtual kumbuka michezo ya kasino ya Meridianbet kama vile Poker, Aviator, Roulette, Wild Icy Fruits na mingine kibao inakungoja wewe yani ukiwa na meridianbet pesa ni nje nje tuu ushindwe wewe tuu.
Cheza sana ili uweze kupata bonasi mbalimbali zitolewazo na Meridianbet kwa dau ulitakalo na hatimaye ujiweke kwenye nafasi ya kuwa bingwa na kutimiza ndoto zako ambazo ulikuwa nazo muda mrefu.
Pia kumbuka kuwa kama ukiwa umeshinda Meridianbet wanakuhaikishia kuwa siku ya Jumatatu saa 5 asubuhi watakuwekea bonasi ambayo nayo pia utaitumia kuchezea michezo mingine uipendayo ndani ya Meridianbet. Kazi ni kwako wewe mteja wa Meridianbet. Muda ndio huu ingia www.meridianbet.co.tz.
NB: Ukijisajili Meridianbet unapewa bonasi ya mizunguko ya bure kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Jisajili na Cheza.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...