Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akikabidhiwa tuzo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako, kwenye Maadhimisho ya Miaka Mitano ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) katika ukumbi wa PSSSF jijini Dodoma,  Agosti 12, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimwangalia Mstaafu Grace Solomon, wakati akitumia mfumo wa kidigitali wa uhakiki wa Wastaafu kupitia simu janja popote walipo bila kufika kwenye Ofisi za Mfuko, huduma hizo zimezinduliwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika ukumbi wa PSSSF jijini Dodoma,  Agosti 12, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizindua huduma tatu za kidigitali ambazo ni utaratibu wa wanachama wapya kujiunga kwenye Mfuko, mfumo wa kidigitali wa kuanzisha madai ya mafao, uhakiki wa Wastaafu kupitia simu janja popote walipo bila kufika kwenye Ofisi za Mfuko. Uzinduzi huo umefanyika katika ukumbi wa PSSSF jijini Dodoma Agosti 12, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza kwenye Maadhimisho ya Miaka Mitano ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) katika ukumbi wa PSSSF jijini Dodoma,  Agosti 12, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...