Kamishna wa Bima nchini ambae pia ni Mkurugenzi Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) Dkt. Baghayo Saqware (wa tatu kushoto) sambamba na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi (wa tatu kulia) wakizindua ushirikiano baina ya taasisi hizo mbili katika uendeshaji wa Akaunti ya dhamana (Trust Account) kwa kampuni za bima nchini hatua inayolengea kuimarisha usimamizi wa sekta ya bima nchini ili kuendana na matakwa ya kisheria na udhibiti yaliyowekwa na TIRA. Ushirikiano huo umetangazwa rasmi leo jijini Dar es Salaam wakati wa hafla fupi iliyokwenda sambamba na semina kwa wadau mbalimbali wa sekta ya bima nchini. Wengine ni maofisa waandamizi kutoka taasisi hizo mbili.
Kamishna wa Bima nchini ambae pia ni Mkurugenzi Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) Dkt. Baghayo Saqware ( kushoto) sambamba na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi (kulia) wakijipongeza kufuatia uzinduzi wa ushirikiano baina ya taasisi hizo mbili katika uendeshaji wa Akaunti ya dhamana (Trust Account) kwa kampuni za bima nchini hatua inayolengea kuimarisha usimamizi wa sekta ya bima nchini ili kuendana na matakwa ya kisheria na udhibiti yaliyowekwa na TIRA.
Mkurugenzi Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) Dkt. Baghayo Saqware akizungumza na wageni waalikwa wakati wa semina iliyoambatana na uzinduzi
wa ushirikiano baina ya TIRA na Benki ya NBC katika uendeshaji wa Akaunti ya
dhamana (Trust Account) kwa kampuni za bima nchini hatua inayolengea kuimarisha usimamizi wa sekta ya
bima nchini ili kuendana na matakwa ya kisheria na udhibiti yaliyowekwa na
TIRA. Ushirikiano huo umetangazwa rasmi leo jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi (kushoto) akizungumza na
wageni waalikwa wakati wa semina iliyoambatana na uzinduzi wa ushirikiano
baina ya benki hiyo na Mamlaka
ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) katika uendeshaji wa Akaunti ya
dhamana (Trust Account) kwa kampuni za bima nchini hatua inayolengea kuimarisha usimamizi wa sekta ya
bima nchini ili kuendana na matakwa ya kisheria na udhibiti yaliyowekwa na
TIRA. Ushirikiano huo umetangazwa rasmi leo jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi
wa Usimamizi wa TIRA Bw. Abubakar Ndwata akizungumza na
wageni waalikwa wakati wa semina iliyoambatana na uzinduzi wa ushirikiano
baina ya TIRA na Benki ya NBC katika
uendeshaji wa Akaunti ya dhamana (Trust Account) kwa kampuni za bima nchini
hatua inayolengea kuimarisha
usimamizi wa sekta ya bima nchini ili kuendana na matakwa ya kisheria na
udhibiti yaliyowekwa na TIRA. Ushirikiano huo umetangazwa rasmi leo
jijini Dar es Salaam
Kamishna
wa Bima nchini ambae pia ni Mkurugenzi Mamlaka
ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) Dkt.
Baghayo Saqware (
kushoto) sambamba na Mkurugenzi Mtendaji wa
Benki ya NBC, Theobald Sabi (kulia) wakiwa kwenye picha ya pamoja na wadau
mbalimbali wa sekta bima nchini wakati
wa uzinduzi wa ushirikiano baina ya taasisi hizo mbili katika uendeshaji
wa Akaunti ya dhamana (Trust Account) kwa kampuni za bima nchini hatua
inayolengea kuimarisha
usimamizi wa sekta ya bima nchini ili kuendana na matakwa ya kisheria na
udhibiti yaliyowekwa na TIRA.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...