Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango, akisalimiana na Naibu Gavana, Bw. Julian BanzI Raphael, alipotembelea banda la BoT kwenye Maonesho ya Wakulima (Nane Nane) yanayofanyika Kitaifa katika viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya.

Afisa Benki kutoka Kurugenzi ya Usimamizi wa Sekta ya Fedha, Bw. Andrea Chimbotela, akizungumza na mwananchi alietembelea banda la Benki Kuu ya Tanzania kwenye Maonesho ya Nanenane yanayofanyika Kitaifa katika viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya.


Mchambuzi Mkuu wa Mifumo ya Malipo kutoka Kurugenzi ya Mifumo ya Malipo ya Taifa, Bw. Nestory Maro, akifafanua jambo kwa mwananchi alietembelea banda la Benki Kuu ya Tanzania kwenye Maonesho ya Nanenane yanayofanyika Kitaifa katika viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya.

Afisa Sheria Mwandamizi kutoka Kurugenzi ya Ustawi na Ujumuishi wa Huduma za Fedha, Bw. Ramadhani Myonga, akielezea jambo kwa mwananchi alietembelea banda la Benki Kuu ya Tanzania kwenye Maonesho ya Nanenane yanayofanyika Kitaifa katika viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya. Kushoto ni Mchumi kutoka Kurugenzi ya Ustawi na Ujumuishi wa Huduma za Fedha BoT, Bw. Lucas Magazi.      
Afisa kutoka Kurugenzi ya Huduma za Kibenki BoT, Bi. Neema Hashim, akitoa elimu kuhusu historia ya noti na sarafu za Tanzania kwa wananchi waliotembelea banda la Benki Kuu ya Tanzania kwenye Maonesho ya Nanenane yanayofanyika Kitaifa katika viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya.

Naibu Gavana, Bw. Julian BanzI Raphael, akizungumza na Meneja Mawasiliano BoT, Bi. Victoria Msina, alipotembelea banda la Benki Kuu ya Tanzania kwenye Maonesho ya Nanenane yanayofanyika Kitaifa katika viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya. Kulia ni Meneja Idara ya Fedha na Utawala Tawi la BoT Mbeya, Bw. Agathon Kipandula.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...