RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Kitabu cha Muongozi wa Kilimo Zanzibar Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mama Mariam Mwinyi, baada ya kukizindua katika viwanja vya Kizimbani Dole Wilaya ya Madharibi “A”Unguja baada ya kuyafungua Maonesho ya Nane nane ya Kilimo Zanzibar 2023 katika viwanja hivyo leo 1-8-2023. na (kulia kwa Mama) Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid.(Picha na Ikulu)
WAFANYAKAZI wa Wizara ya Kilimo,Umwagiliaji,Maliasili na Mifugo Zanzibar, wakifuatilia ufunguzi wa Maonesho ya Nanenane ya Kilimo Zanzibar 2023, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuyafungua maonesho hayo katika viwanja vya Kizimbani Dole Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 1-8-2023.(Picha na Ikulu)
BAADHI ya Mawaziri. Makatibu Wakuu na Wageni waalikwa wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuyafungua Maonesho ya Nanenane ya Kilimo Zanzibar 2023, yanayofanyika katika viwanja vya Kizimbani Dole Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 1-8-2023.(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...