YAH: KUSOGEZWA MBELE KWA TAREHE YA KUFANYIKA KWA TAMASHA LA WAPI MUZIKI NA MISOSI
Ndugu Wananchi.
Tunaomba radhi na kuwajulisha kuwa Tamasha la WAPI MUZIKI NA MISOSI lililokuwa lifanyike tarehe 26 Agosti 2023
LIMEAHIRISHWA NA HIVYO LIMESOGEZWA MBELE kutokana na Sababu zilizo nje ya uwezo wetu.
TAARIFA ZAIDI ZITAENDELEA KUTOLEWA.
Ahsanteni kwa ushirikiano wenu.
Mungu Ibariki Afrika
Mungu Ibariki Tanzania
Imetolewa na Kamati ya Maandalizi-Wapi Muziki Na Misosi: Maadili Kwanza 2023
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...