Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama zabibu zilizokaushwa bila kupoteza virutubisho wakati alipotembelea banda la wilaya ya Chunya katika Maonesho ya Wakulima ya Kimataifa Nanenane kwenye uwanja wa John Mwakangale jijini Mbeya, Agosti 3, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mafuta ya kula yaliyotokana na alizeti wakati alipotembelea banda la wilaya ya Chunya katika maonesho ya Wakulima ya Kimataifa Nanenane kwenye uwanja wa John Mwakangale jijiii Mbeya, Agosti 3, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama fuvu la tembo wakati alipotembelea banda la maonesho la Wilaya ya Chunya katika viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya Agosti 3, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama ufugaji wa kisasa wa samaki aina ya Sato wakati alipotembelea banda la Wizara ya Mifugo na Uvuvi katika maonesho ya wakulima ya kimataifa Nanenae kwenye uwanja wa John Mwakangale jijini Mbeya, Agosti 3, 2023. Kushoto kwake ni Mbunge wa Mbeya Mjini na Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson. (Picha na Ofisi a Waziri Mkuu)

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...