RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na  Viongozi na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh,Saleh Omar Kabi (kushoto kwa Rais) na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman, baada ya kumalizika kwa Maulidi ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja jana usiku 27-9-2023.(Picha na Ikulu)
SHEIKH.Said Nassor Said kutoka Magogoni Unguja akisoma Dua ya Barzanji wakati wa Maulidi ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana usiku 27-9-2023 katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja.(Picha na Ikulu)      

WANAFUNZI wa Madrassatul Sufaiya kutoka Mwanakwerekwe Wilaya ya Mjini Unguja wakijumuika katika Maadhimisho ya Maulidi ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika katika viwanja vya  Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja jana usiku 27-9-2023.(Picha na Ikulu)
WANAFUNZI wa Jumuiya ya Maulidi ya Homu kutoka Mtaa wa Mtendeni Wilaya ya Mjini Unguja, wakisoma Maulidi ya Homu katika Maadhimisho ya kusherehekea kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman jana usiku 27-9-2023.(Picha na Ikulu)
USTADH Omar Abdi Abdulla kutoka Ofisi ya Mufti Mkuu akisoma  Khutba ya Maadhimisho ya Maulidi ya kusherehekea kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar jana usiku 27-9-2023.(Picha na Ikulu)
WANAFUNZI wa Madrassatul Sanaa Muntakaa Kalam kutoka Ukongoroni Wilaya ya Kati Unguja wakisoma Qaswida, katika Maadhimisho ya Maulidi ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja jana usiku 27-9-2023.(Picha na Ikulu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...