RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan akielekea katika eneo lililoandaliwa kwa ajili ya upigaji wa picha za kumbukumbu baada ya kumaliza kuwaapisha Viongozi aliowachagua hivi karibuni na (kulia kwa Rais) Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Philip Isdor Mpango na (kushoto kwa Rais) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Ndogo Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo 1-9-2023.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kumpongeza Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Uratibu wa Shughuli za Serikali) na Waziri wa Nishati Tanzania.Mhe.Dkt.Doto Mashaka Biteko, baada ya kuapishwa leo 1-9-2023, na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan,hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Ndogo Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan akizungumza baada ya kuwaapisha Mawaziri,Mabalozi na Makatibu Wakuu, katika viwanja vya Ikulu Ndogo Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo 1-9-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza wakati wa hafla ya kuapishwa kwa Mawaziri,Mabalozi na Makatibu Wakuu katika viwanja vya Ikulu Ndogo Tunguu Wilaya ya Kati Unguja leo 1-9-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Viongozi Wakuu wa Serikali, katika hafla ya kuapishwa kwa Mawaziri,Manaibu Mawaziri,Mabalozi na Makatibu Wakuu walioteuliwa karibuni, hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika Ikulu Ndogo Tunguu Wilaya ya Kati Unguja leo 1-9-2023, na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Philip Isdor Mpango na (kulia kwa Rais) Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, Spika wa Bunge la Tanzania Mhe.Dkt.Tulia Ackson,Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof.Ibrahim Hamis Juma, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt.Moses M. Kusiluka na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.(Picha na Ikulu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...