Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Rais mteule wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akiwashukuru Wajumbe waliompigia kura na kushinda nafasi hiyo leo tarehe 27 Oktoba, 2023 Jijini Luanda, Angola. Dtk. Tulia ameshinda kwa kupata kura 172 kati ya 303.

 

PICHA NA OFISI YA BUNGE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...