Kampuni kongwe ya michezo ya kubashiri ya Meridianetimefanikiwa kutoa msaada wa vifaa vya mazoezi kwa timuya mazoezi ya Jogging inayofahamika kama Jogger maeneoya Tabata Visiwanijijini Dar-es-salaam.

Lengo kuu la Meridianbet kutoa msaada kwa timu hiyo yamazoezi ya Tabata ni kuhakikisha wanawapa watu motisha yakufanya mazoezi, Kwani msaada huo wa vifaa vya mazoeziutaimarisha timu hiyo na kuwavutia wengi kufanya mazoeziyatakayoimarisha afya zao.

Kutoa msaada katika jamii ambayo imewazunguka imekuautamaduni kwa kampuni ya Meridianbet mara kwa maraambapo wamekua wakirudisha kwenye jamii yao ambayoimekua imewazunguka na leo wamefanikiwa kufika maeneo yaTabata Visiwani.


NB: Habari njema kwako,Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa daudogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakuliadonge nono la Tsh 200,000,000/= PIGA *149*10#

Mkuu wa kitengo cha masoko na mawasiliano kutokaMeridianbet Nancy Ingram alizungumza kwa niaba ya kampunihiyo “Tunayo furaha kubwa kuwepo hapa Tabata Visiwanikuhakikisha tunagawa vifaa hivi vya mazoezi amabvyovitakwenda kuongeza motisha kwa wakazi wa eneo hilikufanya mazoezi na kutunza afya zao.


Meridianbet inakupatia machaguo mengi zaidi ya 1000, ODDS Kubwa na kile ambacho unakitaka ndio maanakaulimbiu yao inasema kuwa, “Meridianbet, Msimu MpyaMzigo wa Kutosha”. Kama bado hujajisajili na Meridianbetmuda ndio ingia www.meridianbet.co.tz uanze kuchezamichezo mbalimbali ya kasino pamoja na kubashiri mechi.

Kiongozi wa timu hiyo ya Jogging inayofahamika kama Jogger alipata nafasi ya kuzungumzia pia msaada uliotolewa naMeridianbet “Kwanza kabisa napenda kushukuru kwa nyiekufika hapa leo na kuweza kutupatia vifaa vya mazoezi, Lakini pia mnaonesha mfano mkubwa kwa taasisi nyinginekutokana na namna mnajitoa kwa jamii yenu sisi kamaJogger tunashukuru sana kwa mlichokifanya leo”

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...