*Sloti ya Forest Rock
MAISHA ya kale na ya sasa ni tofauti sana, zamani hakukuwa na TV wala smartphone zamani tulikua tunapata burudani kwa njia ya masimulizi yani fasihi Simulizi, hadithi nyimbo na ngoma zilitamba sana kuburudisha macho na masikio yetu, kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inaweza kukupa haya yote lakini zama zimebadilika ukitaka kufahamu kitu unazama tu Instagram au Facebook unachungulia. Zile hadithi za Wanyama wa porini kama Simba, Sungura na Fisi, Tembo na Mbwa mwitu zote hazipo tena lakini kuna chimbo moja unaweza kuzipata na ukaburudika.

Leo nataka nikwambie kuwa kasino ya mtandaoni ya Meridianbet imekuja na Sloti ya Wanyama kama Sungura, Simba, Dubu na Tembo wote wakiwa na jukumu moja tu la kukuburudisha na kukupa ushindi.

Sloti ya Forest Rock ina muundo wa kizamani wenye kolamu 5 na mistari 15 ya ushindi. Kama kawaida ukiichagua kasino ya mtandaoni ya Meridianbet basi umechagua ushindi.

Sloti hii pendwa ya Forest Rock ina alama mbalimbali za wanyama pori wenye kukuletea faida kama vile Sungura alievaa headphone, Paka mwitu mpiga gitaa na Dubu ambaye anasimama kama meneja, Simba ni bonge la msanii na Tembo akiwa kama mpiga ngoma mkubwa. Sio hivyo tu, alama za Karata nazo zipo. Unasubiri nini kujiunga na familia ya washindi ya Meridianbet? Jiunge leo na ushinde.
Jinsi ya Kucheza Sloti ya Forest Rock

Ni rahisi sana kucheza sloti ya Forest Rock, unachotakiwa kukifanya ni kuhakikisha unapata alama tatu zenye kufanana ili ushinde. Kubwa zaidi ya yote ni pale utakapo pata alama tatu zenye nembo ya mchezo wa Forest Rock ambayo itakulipa hadi mara 20 ya dau uliloliweka. Sio hayo tu, Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet inakupa fursa ya kupata hadi mizunguko 20 ya bure.

Ukipata Jokeri tatu kwenye sloti hii utapewa mizunguko mingine zaidi. Sloti hii ya Forest Rock ina chaguo la kubashiri (Gambling option) ambalo linakupa fursa ya kuchagua kati ya kadi mbili ambazo ni Nyekundu na Nyeusi, uchague ipi itaanguka mezani na itakupa mara mbili ya faida uliyoipata. Cheza Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet upate bonasi kibao.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...