Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisalimiana na Mwakilishi Mkaazi wa Benki ya Dunia hapa Tanzania ambae pia anawakilisha Malawi.Zambia,Zimbabwe na Zambia Bw.Nathan M.Belete alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo wakiwepo na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango.[Picha na Ikulu.] 27/10/2023.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akimsikiliza Mwakilishi Mkaazi wa Benki ya Dunia hapa Tanzania ambae pia anawakilisha Malawi.Zamzbia,Zimbabwe na Zambia Bw.Nathan M.Belete (wa pili kushoto) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo wakiwepo na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango (wa pili kulia) Waziri wa Fedha na Mipango Mhe Dkt.Saada Mkuya Salum na katibu Mkuu Dkt.Juma Malik Akil.[Picha na Ikulu.] 27/10/2023.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Mwakilishi Mkaazi wa Benki ya Dunia hapa Tanzania ambae pia anawakilisha Malawi.Zambia,Zimbabwe na Zambia Bw.Nathan M.Belete (kushoto) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo. [Picha na Ikulu.] 27/10/2023.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Mwakilishi Mkaazi wa Benki ya Dunia hapa Tanzania ambae pia anawakilisha Malawi.Zambia,Zimbabwe na Zambia Bw.Nathan M.Belete (wa pili kulia) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo wakiwepo na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango (kulia) Waziri wa Fedha na Mipango Mhe Dkt.Saada Mkuya Salum .[Picha na Ikulu.] 27/10/2023.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na Mgeni wake Mwakilishi Mkaazi wa Benki ya Dunia hapa Tanzania ambae pia anawakilisha Malawi.Zambia,Zimbabwe na Zambia Bw.Nathan M.Belete baada ya mazungumzo yao leo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar .[Picha na Ikulu.] 27/10/2023.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...