


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na mwenyeji wake Rais wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema mara baada ya kuwasili Ikulu ya Lusaka nchini Zambia tarehe 25 Oktoba, 2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na mwenyeji wake Rais wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema wakati wakielekea kwenye mazungumzo katika Ikulu ya Lusaka nchini Zambia tarehe 25 Oktoba, 2025
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...