Mkurugenzi Mkuu wa VETA Dkt.Prosper Mgaya akizungumza na wafanyakazi wa VETA kwa ajili ya kuanza kazi katika Mamlaka hiyo , jijini Dodoma.
Mkurugenzi Mkuu wa VETA Dkt.Prosper Mgaya akizungumza na wafanyakazi wa VETA kwa ajili ya kuanza kazi katika Mamlaka hiyo , jijini Dodoma.
Mkurugenzi Mkuu wa VETA Dkt.Prosper Mgaya (Kushoto) akipokea nyaraka kutoka kwa aliyekuwa akikaimu nafasi hiyo CPA.Anthony Kasore kama ishara ya kumkabidhi Ofisi, alipowasili katika ofisi za VETA Makao Makuu jijini Dodoma, leo tarehe 6 Novemba, 2023.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...