Na Mwandishi Wetu
UZINDUZI wa Duka la OPPO lililopo katika makutano ya mtaa wa Lindi na Msimbazi , Kariakoo jijini Dar es salaam umefanyika leo Novemba 27, 2023 huku msanii maarufu Juma Mussa a.k a Jux akitumia hafasi hiyo kuwashauri Watanzania kokote waliko kununua simu za OPPO kwani ni nzuri, imara na zikaa na chaji muda mrefu.
Katika uzinduzi huo baadhi ya wananchi waliokuwa maeneo hayo wakiwemo na wapita njia walilazimika kusimamisha shughuli zao kwa muda ili kushuhudia burani kutoka kwa msanii ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wake unaokwenda kwa jina Bora Ni-Enjoy.
Akizungumza baada ya kuzindua duka hilo la OPPO, Jux ambaye pia anafahamika kwa jina la African Boy amesema yeye anatumia simu ya OPPO na anatamani kuona Watanzania wengi wakiitumia kwani ina uwezo mkubwa wa kukaa na chaji na picha zake zina ubora mkubwa.
Amesema duka hilo ambalo linapatikana katika makutano hayo ya Lindi na Msimbazi liko katika mazingira mazuri na ni duka la kwanza kwa Tanzania lenye bidhaa zote za OPPO.
"Kama mnavyoona hii ni simu ambayo sasa hivi hata mimi naitumia na hapa nilipo ninayo hii hapa simu kali, nzuri na inakaa chaji, " amesema na kuongeza simu hizo aina ya OPP zina kamera nzuri sana na hata kama ikishikwa mkononi inamuonekano mzuri, hivyo wateja wafike katika duka hilo kununua.
Jux ambaye ni pia ni balozi wa bidhaa wa OPPO amesema kuwa ziko bei aina tofauti , kuanzia simu za bei kubwa na bei ya kawaida , hivyo wateja wote wakaribie dukani hapo.
"Msipate tena tabu karibuni duka hili hapa karibu sana na bahati nzuri hivi sasa ukija hapa Kuna droo ambayo inachezeshwa na OPP hapa dukani hivyo ukija hapa utakutana na fursa hii, amesema Jux.
Aidha amesema katika duka hilo kuna droo inachezeshwa ambapo atakayeshinda anaondoka na kitita cha Sh.milioni 1, 000,000 na kama ukinunua simu aina ya OPP inakuwa nzuri zaidi." Hvyo wateja wote wajanja wakaribie maduka yote ya OPP na anaamini OPP wamefanya kitu kizuri sana.
Pia amesema kuwa simu aina ya smart phone zipo nyingi sana lakini simu aina ya OPP ni bora zaidi na zaidi hivyo wateja wote wanakaribishwa.

Msanii Juma Mussa maarufu Jux akiwa amembeba mtoto wa mmoja wa wateja waliofika duka la Simu za OPPO lililopo makutano ya mtaa wa Lindi na Msimbazi.Duka hilo limezinduliwa leo Novemba 27, 2023 jijini Dar es Salaam
Msanii wa Bongo Fleva Juma Mussa maarufu kwa jina la Jux akiwa ameshika simu aina ya OPPO baada ya kufanyika kwa uzinduzi wa duka la OPPO lililopo makutano ya mtaa wa Lindi na Msimbazi , Kariakoo jijini Dar es Salaam
Msanii maarufu wa muziki wa kizazi kipya Juma Mussa a.k.a Jux akisaini kitabu baada kuzindua Duka la simu za OPPO lililopo katika makutano ya Mtaa wa Lindi na Msimbazi , Kariakoo jijini Dar es Salaam

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...