Mshindi wa promosheni ya Maokoto ndani ya kizibo ambaye ni mkazi wa Thomas samson (kushoto) mkazi wa Bunju jijini Dar es salaam  akipokea mfano wa hundi ya Shilingi laki tano kutoka kwa Ana tunu kher afisa mauzo wa Serengerti Breweries Limited (kulia) kwenye hafla ya makabidhiano ya zawadi iliyofanyika kwenye baa ya QX Bar Bunjuju jijini Dar es Salaam..

Mshindi wa promosheni ya Maokoto ndani ya kizibo ambaye ni mkazi wa Mlandizi kibaha Mkoani Pwani Shafiki Balyagati akipokea mfano wa hundi ya Shilingi laki tano kutoka kwa Meneja Mauzo wa Breweries kanda ya Mlandizi, Pwani Japhet Mwalisu (kulia) kwenye hafla ya makabidhiano ya zawadi iliyofanyika kwenye baa ya la vica.

Mshindi wa Maokoto ndani ya Kizibo Abedi Juma(kulia) akipokea hundi ya shilingi  laki tano kutoka kwa Afisa Mauzo wa SBL wilaya ya Masasi mkoani Mtwara Leonard Brainer wikiendi hii.

Afisa Masoko kutoka kutoka Kampuni ya Bia ya Serengeti Breweries Limited kupitia promosheni ya Maokoto ndani ya Kizibo akimkabidhi mfano wa Hundi ya shilingi laki tano Julieth Almacus Mkazi wa Manispaa ya Musoma mkoani Mara kwa kuibuka kupitia bia ya Smirnoff Ice. hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Chacha Novemba 25, 2023

Meneja Masoko wa Kampuni ya bia Serengeti Breweries Mkoa wa Geita Geofrey George (kushoto)  akimkabidhi mfano wa hundi ya Sh laki 5 mshindi wa Maokoto ndani ya kizibo droo ya tano Isaya Japhet, kwenye hafla ya makabidhiano iliyofanyika kwenye ukimbi Lit Lounge Geita.

Mshindi wa promosheni ya Maokoto Ndani ya Kizibo Leonard Malisa(kulia) mkazi wa Singida akipokea hundi ya shilingi laki tano kutoka kwa Mwanahamisi Juma, afisa masoko wa kampuni nya bia ya serengeti wikiendi hii wakati wa hafla fupi ya kumkabidhi zawadi mshindi huyo iliyofanyika mkoani Singida.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...