
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Bw Ludovick Nduhiye akizungumza na wajumbe wa kamati ya ukaguzi kutoka Wizara ya Ujenzi (hawapo pichani) wakati akifunga mafunzo ya kuwajengea uwezo wajumbe hao, yaliyofanyika Jijini Mwanza.

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, BW. Ludovick Nduhiye akitoa vyeti kwa baadhi ya wajumbe wa kamati ya ukaguzi ya Ujenzi walioshiriki katika mafunzo ya kuwajengea uwezo yaliyofanyika jijini Mwanza.

Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Ukaguzi kutoka Wizara ya Ujenzi Wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Bw . Ludovick Nduhiye (Hayupo Pichani), wakati akifunga mafunzo ya kuwajengea uwezo wajumbe hao, yaliyofanyika jijini Mwanza.
Naibu Katibu Mkuu Wizara Ya Ujenzi, Bw. Ludovick Nduhiye (wa tatu kushoto waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa kamati ya ukaguzi kutoka Wizara ya Ujenzi, mara baada ya kufunga mafunzo ya kuwajengea uwezo wajumbe hao yaliyofanyika Jijini Mwanza.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...