Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji wa Baraza UWT,Mariam Ulega, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika ufunguzi wa mafunzo ya siku kumi ya Uongozi yaliyodhaminiwa na Chama Cha Kikomunisti cha China kwa vijana 50 yanayofanyika katika Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere iliyopo Kwa Mfipa Wilayani Kibaha Mkoani Pwani leo Oktoba 30,2023.
Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji wa Baraza UWT Mariam Ulega (wapili kulia) akifuatilia ufunguzi wa mafunzo ya viongozi hao.
Sehemu ya washiriki.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...