Katibu Mkuu Wizara ya Uchukuzi Prof. Godius Kahyarara ametembelea banda la Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) katika Maonyesho  ya 16 wa Wadau wa sekta ya Uchukuzi yanayofanyika mkoani Arusha kuanzia Disemba 5-8,2023 katika kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC) ambapo alipata ufafanuzi wa masuala mbalimbali ya kiendeshaji na usimamizi wa miradi.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Prof. Godius W. Kahyarara akipata maelezo kutoka kwa Meneja Mipango, Usanifu na Uthamini kutoka Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) Mhandisi Diana Munubi baada ya kutembelea Bando la Mamlaka hiyo wakati wa Mkutano wa 16 wa Wadau kuhusu Ufuatiliaji na Tathmini unaoratibiwa na Wizara ya Uchukuzi unaofanyika mkoani Arusha kuanzia Disemba 5 hadi 8, 2023.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Prof. Godius W. Kahyarara akisoma kitabu cha Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) alipotembelea Banda hilo wakati wa Mkutano wa 16 wa Wadau kuhusu Ufuatiliaji na Tathmini ulioandaliwa na Wizara ya Uchukuzi unaofanyika mkoani Arusha kuanzia Disemba 5 hadi 8, 2023.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Prof. Godius W. Kahyarara akisaini kitabu cha Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) alipotembelea Banda hilo wakati wa Mkutano wa 16 wa Wadau kuhusu Ufuatiliaji na Tathmini ulioandaliwa na Wizara ya Uchukuzi unaofanyika mkoani Arusha kuanzia Disemba 5 hadi 8, 2023.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...