Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mh,Hemed Suleiman Abdulla  kulia 
akiwa pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la 
Ushirikiano wa Elimu Duniani (GPE)ambae pia ni Rais Mstaafu wa Jamhuri 
ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete wakitoka katika Ufunguzi 
wa Mkutano wa Wakurugenzi hao utakao fanyika kwa mudaswa siku mbili 
katika Hoteli ya Park Hyati Mjini Zanzibar.-Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Ushirikiano wa Elimu 
Duniani (GPE)ambae pia ni Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa 
Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete akiashiria jambo wakati akizungumza 
baaada ya kutoka katika Ufunguzi wa Mkutano wa Wakurugenzi wa Shirika 
hilo ambao utafanyika katika Hoteli ya Park Hyati Mjini Zanzibar.Mbele 
yake ni Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Hemed Suleiman Abdulla.Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mh,Hemed Suleiman Abdulla 
akizungumza na Wanahabari baada ya kufungua Mkutano wa Bodi ya 
Wakurugenzi wa Shirika la Ushirikiano wa Elimu Duniani (GPE)amabao 
Utafanyika kwa siku mbili  katika Hoteli ya Park Hyati Mjini 
Zanzibar.Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika hilo 
akiwa pia ni Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya 
Mrisho Kikwete,na kulia ni Naibu Waziri wa Elimu na Mqafunzo ya Amali 
Zanzibar  Ali Abdullgulam Hussein.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
 


 
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...