KAMPUNI ya Meridianbet imeonesha upendo mkubwa kwa wajasiriamali wanaopatikana Mwenge Mpakani jijini Dar-es-salaam kwani leo wamefika eneo hilo na kutoa msaada wa Miamvuli.

Mabingwa hao wa michezo ya kubashiri wanaendeleza utamaduni wao wa kuhakikisha wanagawana na jamii yake inayowazunguka, Ndicho walichokifanya leo baada ya kutoa msaada kwa wajasiriamali wa Mwenge wenye uhitaji.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Msaada wa Miamvuli waliotoa leo ni wazi utakwenda kuwasaidia wajasiriamali hao katika shughuli zao za kila siku, Kwani Miamvuli hiyo inaweza kutumika kuzuia jua lakini kipindi hiki cha mvua itakua na msaada mkubwa.

Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano kutoka Meridianbet Nancy Ingram alifanikiwa kuzungumza kwa niaba ya kampuni na kusema “Kwanza kabisa napenda kuwashukuru kwa mapokezi yenu mazuri lakini kubwa ni sisi kufika hapa na kuweza kutoa vifaa hivi ambavyo vitawasaidia katika shughuli zenu za kila siku”

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee

ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Mmoja wa Wafanyabiashara wadogowadogo wanaopatikana Mwenge Mpaka alizungumza na kwa niaba ya wenzake huku akisema “ Kiukweli napenda kuwashukuru kampuni ya Meridianbet kwa kuonesha ukarimu mkubwa kwa kuja kutupatia vifaa ambavyo vitaweza kutusaidia katika shughuli zetu, Ningependa makampuni mengine yaige mfano kwa Meridianbet kwa kukumbuka wahitaji”


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...