Meneja Masoko wa Taasisis ya Kifedha ya Y9 microfinance Bi Sophia Mang’enya (kulia), akikabidhi zawadi ya pikipiki kwa mshindi wa droo ya nane Bw.Anold Jacob ambae aliibuka mshindi  wakati wakuchezesha droo hiyo wiki iliyopita ikiwa nimuendelezo wa Taasisi hiyo kutoa zawadi kila wiki kwa wateja wake wa Pakua APP ya Y9 na ukope na ulipe kwa wakati ili kuingia kwenye droo na ushine zawadi ya simu janja na pikipiki. hafla ya makabidhiano hayo yamefanyika nyumbani kwa kina  Anold kinondoni manyanya jijini Dar es Salaam. Na baada ya wiki mbili itachezeshwa droo kubwa ambapo mshindi atajinyakulia Gari mpya kabisa Toyota Ist.

Meneja Masoko wa Taasisi ya Kifedha ya Y9 microfinance Bi Sophia Mang’enya (kulia), akizungumza wakati wa hafla yakukabidhi zawadi ya pikipiki kwa mshindi wa droo ya saba Anold Jacob ambae aliibuka mshindi  wakati wakuchezesha droo hiyo wiki iliyopita ikiwa nimuendelezo wa Taasisi hiyo kutoa zawadi kila wiki kwa wateja wake wa Pakua APP ya Y9 na ukope na ulipe kwa wakati ili kuingia kwenye droo na ushinde zawadi ya simu janja na pikipiki hafla ya makabidhiano hayo yamefanyika nyumbani kwa kina  Anold kinondoni manyanya jijini Dar es Salaam na baada ya wiki mbili itachezeshwa droo kubwa ambapo mshindi atajinyakulia Gari mpya Toyota Ist.

Mshindi wa pikipiki wa wa Pakua APP ya Y9 Microfinance ushinde Bw. Anold Jacob akionesha ufunguo wa pikipiki mara baada ya kukabidhiwa na Meneja Masoko wa Taasisis ya Kifedha ya Y9 microfinance Bi Sophia Mangenya wakati wa hafla yakukabidhi zawadi ya pikipiki kwa mshindi wa droo ya nane . Na baada ya wiki mbili itachezeshwa droo kubwa ambapo mshindi atajinyakulia Gari mpya Toyota Ist.

Mshindi wa pikipiki wa wa Pakua APP ya Y9 Microfinance ushinde Bw. Anold Jacob akionesha plate namba na kadi ya pikipiki mara baada ya kukabidhiwa na Meneja Masoko wa Taasisis ya Kifedha ya Y9 microfinance Bi Sophia Mangenya wakati wa hafla yakukabidhi zawadi ya pikipiki kwa mshindi wa droo ya nane . Na baada ya wiki mbili itachezeshwa droo kubwa ambapo mshindi atajinyakulia Gari mpya Toyota Ist.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...