Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi
Xia Huang Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Ukanda wa
Nchi za Maziwa Makuu mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16
Desemba, 2023. Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na
Balozi Xia Huang Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Ukanda
wa Nchi za Maziwa Makuu mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam
tarehe 16 Desemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi Xia Huang Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Ukanda wa Nchi za Maziwa Makuu pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. January Makamba mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Desemba, 2023.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...