Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria Maadhimisho ya miaka 50 ya Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) yaliofanyika katika Ofisi za Baraza hilo Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Desemba, 2023.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea kitabu cha miaka 50 ya Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) kutoka kwa Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda wakati wa Maadhimisho ya miaka 50 ya Baraza hilo katika Ofisi za Baraza hilo Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Desemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika viwanja vya Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) kwa ajili ya kushiriki kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya Baraza hilo Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Desemba, 2023.Viongozi pamoja na wageni mbalimbali wakiwa kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) katika Ofisi za Baraza hilo Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Desemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mkurugenzi wa Chapa na Uchapishaji kutoka Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) Edward Haule kuhusu shughuli mbalimbali za uchapaji wa Mitihani pamoja na Nyaraka mbalimbali wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya Baraza hilo Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Desemba, 2023.
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda akiwa amenyanyua juu Tuzo ya Shukrani kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati wa Maadhimisho ya miaka 50 ya Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) yaliofanyika katika Ofisi za Baraza hilo Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Desemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa pamoja na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda kuzindua mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) kwenye hafla iliyofanyika katika Ofisi za Baraza hilo Kijitonyama Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Desemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Afisa Mitihani kutoka Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) Bi. Fatma Muhidini Mshana kuhusu utengenezaji wa Vyeti pamoja na shughuli mbalimbali zinazofanywa na Baraza hilo wakati wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) katika Ofisi za Baraza hilo Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Desemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasikiliza Watoto wa Shule ya Msingi Kisutu wakati wakitumbuiza mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Desemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) katika Ofisi za Baraza hilo Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Desemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mkurugenzi wa Chapa na Uchapishaji kutoka Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) Edward Haule kuhusu shughuli mbalimbali za uchapaji wa Mitihani pamoja na Nyaraka mbalimbali wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya Baraza hilo Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Desemba, 2023.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...