Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu).  Prof. Joyce L. Ndalichako akipokea zawadi kutoka kwa mfanyakazi wa T-MARC Tanzania mara baada ya kutembelea banda hilo wakati wa wiki ya maadhimisho ya siku ya UKIMWI Duniani iliyofanyika kitaifa mkoani humo. Wa kwanza kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Adam Kighoma Malima
Wakazi wa Morogoro wakipewa elimu juu ya matumizi sahihi ya Condom na njia nyingine za kujikinga dhidi ya maambukizi ya VVU wakati walipotembelea banda la T-MARC kwenye wiki ya maadhimisho ya siku ya UKIMWI Duniani iliyofanyika kitaifa mkoani humo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...