Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama akiongoza zoezi ufunguaji wa barabara na uondoaji wa tope katika Mji wa katesh Halmashauri ya Hanang’

WANANCHI wapokea kwa muitikio chanya zoezi la kuhifadhi waathirika wa Maporomoko ya mawe na matope kutoka Mlima Hanang kwa kushrikiana na serikali. Uratibu wa zoezi hilo unaenda sanjari na ugawaji wa vifaa vya msaada wa kibinadamu kwa waathirika wa maafa hayo.

Hatua hiyo inaenda sambamba na hali ya urejeshaji hali katika Mji wa Katesh, Halmashauri ya wilaya ya Hanang Mkoani Manyara, huku shughuli ya uondoaji wa tope katika barabara na mitaa ya Mji wa katesh ikiendelea.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...