



.jpg)
Mkuu wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini wa Vodacom Tanzania, Bi. Happiness Shuma (wa pili kushoto) akimvisha kanga mmojawapo wa washindi waliopatikana kupitia kampeni inayoendelea ya ‘Sambaza Shangwe, Gusa Maisha’, katika viwanja vya Uyole jijini Mbeya mwishoni mwa wiki. Kupitia kampeni hii wateja wanayo fursa ya kushinda zawadi mbalimbali ikiwemo bodaboda, luninga, simu za mkononi, router za 4G na 5G pamoja na pesa taslimu kila wiki kuanzia shilingi laki tano mpaka milioni 10 kwa kununua vifurushi, kufanya malipo kwa M-Pesa na kupakua DJ Mixes kupitia Mdundo.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...