Afisa Masoko kampuni ya vinywaji vya Serengeti Mkoa wa Iringa Venance Kavishe ( pichani kulia) akimkabidhi mfano wa Hundi yenye thamani ya Laki tano Nazir Chonya, Mshindi wa Droo ya Maokoto Ndani ya Kizibo wakati wa hafla fupi iliyofanyika katika ukumbi wa G7 Pub mtaa wa Kibaoni Ifunda mkoani Iringa.
Afisa Masoko kutoka kutoka Kampuni ya Bia ya Serengeti Breweries Limited Lusia Minja (wa pili kushoto) kupitia promosheni ya Maokoto ndani ya Kizibo akimkabidhi mfano wa Hundi ya shilingi laki tano Mafuru Severine Barnaba (pichani kulia) Mkazi wa Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza kwa kuibuka mshindi kupitia bia ya Serengeti Lite. Hafla ilifanyika katika Ukumbi wa Trust Bar mwishoni mwa wiki.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...