Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango wameshiriki Mazishi ya Architect. Phillip Bhalalusesa ambaye ni Kaka wa Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Katoliki Tabora Askofu Paul Ruzoka.

Ibada ya Mazishi imefanyika katika Kanisa Katoliki Parokia ya Utatu Mtakatifu Changanyikeni na Mazishi yamefanyika Makaburi ya Kinondoni Jijini Dar es salaam. Tarehe 09 Januari 2024.Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...