IKIWA leo hii ni Jumamosi nyingine tena ndani ya jiji la Dar es salaam ambayo imesindikizwa na mvua kubwa zilizonyesha maeneno mengi, hilo halijawazuia meridianbet kuwatembelea MRC (Muungano Recovery Community Tanzania) ambao wapo Kigamboni.

Msafara huo wa kuwatembelea waathirika wa dawa za kulevya uliongozwa na mhariri mkuu wa Meridianbet Nancy Ingram, Abubakar Kulindwa mpiga picha, na wengine ambao kwa pamoja walifika katika eneo la tukio na kuanza kutoa msaada.

Zoezi hilo lilianza mapema kabisa saa 6 mchana ambapo baadhi ya vifaa vilivyopelekwa ni pamoja na Vyakula kama vile mchele na sukari na vifaa vya kufanyia usafi kama vile sabuni.

Mhariri huyo wa meridianbet kampuni kubwa kabisa ya ubashiri Tanzania nzima wakisifika kwa ODDS KUBWA, alisema kuwa msaada huo utaenda kuwasaidia watu hao kwaajili ya matumizi yao ya kila siku kwani chakula ni muhimu sana kwa binadamu yoyote yule.

Pia kumbuka kubashiri na meridianbet mechi za leo kuanzia pale EPL, BUNDESLIGA, LALIGA, SERIE A, na nyingine nyingi utusue mpunga wa maana umalize wikendi yako vizuri kabisa. Ingia meridianbet sasa na ubashiri.

Baada ya kupokea msaada huo viongozi wa MRC Kigamboni walifurahia sana ujio wa Meridianbet kwa kuwafikia na kuwashukuru sana kwani vyakula na vifaa hivyo vitawasaidia kwa namna moja au nyingine kwa siku hizi na kuwaomba watu wengine waige mfano wa meridianbet kwani kujali wengien ni jambo zuri sana.

Lakini pia hawakuishia hapo waliomba meridianbet warudi tena siku nyingine kwani watu hao walioathirika na madawa ya kulevya ni wengi na msaada unahitajika ni mkubwa sana.

Vilevile meridianbet inakukumbusha kucheza micheoz ya Kasino ya Mtandaoni kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rocketman, na Sloti kwa dau dogo tuu upige mkwanja wa maana.

Meridianbet nao baada ya kumaliza tukio hilo la kutoa msaada kwa waathirika wa madawa ya kulevya, waliwaambia kuwa watarudi tena siku nyingine kwaajili ya kuwasaidia watu hao.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...