Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokea fulana la Timu ya Chelsea ya England kutoka kwa Mkuu wa Masoko na Mauzo Ndg.Banes Hampel,wakati Ujumbe wa Timu hiyo walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kusalimiana leo,[Picha na Ikulu] 01/02/2024.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Ujumbe wa Timu ya Chelsea ya England (kushoto) wakati walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kusalimiana leo, ambapo wamegusia kuitangaza Zanzibar katika sekta ya Utalii na kuanzisha Vyuo vya Mpira wa Miguu.[Picha na Ikulu] 01/02/2024.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa katika mazungumzo na Ujumbe wa Timu ya Chelsea ya England (kushoto) wakati walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kusalimiana leo ambapo wamegusia kuitangaza Zanzibar katika sekta ya Utalii na kuanzisha Vyuo vya Mpira wa Miguu .[Picha na Ikulu] 01/02/2024.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akiagana na Mkuu wa Masoko na Mauzo Ndg.Banes Hampel, Timu ya Chelsea ya England baada ya Mazungumzo akiwa na ujumbe wake wakati walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kusalimiana leo,[Picha na Ikulu] 01/02/2024.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...