Jackpot ya Expanse Kasino, Hii sio ndoto hata kidogo ni uhalisia uliopo katika nyumba ya mabingwa Meridianbet, kuna Jackpot endelevu ya michezo ya kasino ya mtandaoni kutoka kwa mtoa huduma wa michezo ya kasino kampuni ya Expanse Studio.

Ikumbukwe kwamba Jackpot hii ipo kila siku katika makundi matatu ya Diamond, Platnumz, na Gold kila moja ikiwa na kiwango chake cha ushindi mkubwa.

Mpaka sasa unaambiwa Jackpot hii ya imefikia kiasi cha Zaidi ya Tsh milioni thelathini 30,000,000/= kiwango ambacho kinawaweza kukuangukia wewe wakati wowote.

Ili uwe moja ya washindi ya wachezaji wanaozifukuzia pesa hizi kila siku, unatakiwa kujisajili na Meridianbet kisha unacheza mchezo wowote wa Kasino ya Mtandaoni kutoka kwa Expanse Studio.

Miongoni mwa michezo hiyo ni kama ifuatayo: Super Helimchezo mpya unaopendwa Zaidi na wachezaji wa kasino ya mtandaoni, 100 Super Icy, Book of Egypt, Bounty Hunter, Capital City Derby, Forest Rock, Pirates power, Spinning Buddha, Book of Eskimo, na Wild Icy Fruits.

Meridianbet kila siku inakuja na vitu vipya kwa wateja wake, promosheni, bonasi za kasino, michezo ya kubashiri kwa odds kubwa na machaguo kibao, yote haya ni kuhakikisha kwamba hujutii kuichagua nyumba ya mabingwa Meridianbet.

Unasubiri nini kuanza safari yako ya ushindi kibingwa!! Ni Meridianbet pekee inakuhakikishia ushindi kwa kukupa kila wakati. Sio hivyo tu, michezo ya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet kutoka Expanse inakupa nafasi ya kushindamihela mingi kwenye Jackpot inayokua na kuongezeka kila siku, kila unapocheza unazidi kujiongezea pointi za kushinda Jackpot hii.

Jisajili sasa Meridianbet na upate bonasi ya kasino bure kwa kucheza michezo mbalimbali ya kasino ya mtandaoni pamoja na michezo ya ubashiri yenye Odds kubwa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...