Moto utawaka mkali kwenye ligi ya mabingwa barani ulayakwani inakwenda kupigwa michezo mikali ya mzunguko wapili hatua ya 16 bora ambayo itaamua nani anakwendahatua ya robo fainali.

Vinara wa ligi kuu ya Uingereza klabu ya Arsenal watakua pale Emirates usiku wa leo kumenyana na klabu ya Fc Porto kutokakule nchini Ureno, Huku mbungi lingine kali litaua pale kwenyedimba la Olympico Lluis Barcelona wakiwa nyumbanikuwakaribisha mabingwa watetezi wa Serie A klabu ya Napoi.

Arsenal wakiwa katika nyumbani leo watakua na kazi moja tukuhakikisha wanashinda mchezo huu ili kuweza kufuzu hatua yarobo fainali, Lakini wakati huohuo Fc Porto wana faida ya golimoja ambalo walilipata wiki mbili zilizopita katika dimba lao la nyumbani.

Arsenal ni wazi leo watahitahitaji kupata ushindi utakaowezakuwapeleka mbele lakini klabu hiyo iliyo kwenye uboramkubwa kwasasa watakua na mlima wa kupanda, Kwani Fc Porto ni klabu iliyoonekana kuzuia vizuri sana na kushambuliakwa kushtukiza. Mchezo huu utapatikana pale kwenye tovuti yaMeridianbet na umepewa ODDS KUBWA.

Mchezo mwingine mkali utapigwa pale katika dimba la Olympico Lluis kati ya klabu ya Barcelona dhidi ya Napoli ambapo Barca watakua nyumbani katika mchezo huo, Mchezowa kwanza pale katika dimba la Diego Armando Maradonaulimalizika kwa sare ya goli moja kwa moja.

Mchezo huu utakua wazi kwa timu zote kwani yeyoteatakaeshinda mchezo atakata tiketi ya kufuzu hatua ya robofainali, Hivo mchezo huu unatarajiwa kua mkali na wenyeushindani mkubwa kwakua uko wazi na kila timu ina nafasi yakusonga mbele.

Suka mkeka wako kwenye michezo mikali itakayopigwa leokwenye ligi ya mabingwa Afrika, Machaguo zaidi za 1000 yapohuku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubiri nini sasa?Ingia meridianbet na ubashiri sasa.`

Bila kusahau ligi kuu ya NBC pia leo itaendelea ambapoMnyama Simba atashuka dimbani kumenyana na klabu yaSingida Fountain Gate katika dimba la Chamazi jijini Dar-es-salaam, Ambapo Simba itahitaji kupata alama tatu muhimu ilikurejea kwenye mbio za ubingwa wa ligi hiyo.Mchezo huumkali pia utapatikana pale kwenye tovuti ya Meridianbet ukiwaumepewa ODDS BOMBA kabisa


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...