Dkt. Bingwa wa Afya ya Kinywa na Meno na Rais Mstaafu wa Chama cha Wataalamu wa Afya ya Kinywa na Meno Dr. Deogratias Kilasara Akimpatia matibabu ya Kinywa Mwanaidi Mussa (27) mkazi wa Utete mjasiliamali aliyefika katika Hospitalia ya Utete wakati wa Wiki ya Afya na Meno ambapo Kilele cha Maadhimisho hayo kila Mwaka hufanyika Machi 20, Duniani, Kitaifa yatafanyika Mkoa wa Pwani.
Dkt. Bingwa wa Afya ya Kinywa na Meno na Rais Mstaafu wa Chama cha Wataalamu wa Afya ya Kinywa na Meno Dr. Deogratias Kilasara akizungumza na wananchi katika Hospitali ya Wilaya ya Utete ikiwa ni Wiki ya Afya na Meno ambapo Kilele cha Maadhimisho hayo kila Mwaka hufanyika Machi 20, Duniani, Kitaifa yatafanyika Mkoa wa Pwani.
Katika picha moja ni ujumbe kwa waendesha bodaboda kwenye wiki ya maadhimisho ya Kinywa .
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...