Mabalozi wa Nchi za Afrika kukimbia Mbio za Africa Day zitakazofanyika Mai 18, 2024 jijini Dar es Salaam.
Mbio hizo ni kwaajili ya kusaidia Shule za wanafunzi wenye mahitaji maalumu zilizopo katika jijini Dar es Salaam. Mabalozi hao watatoa msaada katika shule ya Uuru Mchanganyiko, Jeshi la Wkovu, Jangwani na Pugu.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...