KUNA ile michezo mingine ya kasino, halafu kuna Aviator ya Meridianbet usipime aiseeh inatoa washindi kirahisi sana, mchezo huu unapatika kwenye kasino ya mtandaoni, kama ulikuwa unatufta njia rahisi ya kupiga mkwanja mrefu kasino, basi kiu yako imepata maji, cheza Aviator sasa utaona maajabu yake.

Mchezo huu unahusisha urushaji wa ndege, sasa wewe ndiyo unapaswa kuwa rubani wa hiyo ndege, na hakikisha kabla ndege haijaanguka uwe ushachukua maokoto yako. Mchongo huu umewezeshwa Zaidi na Meridianbet wakali wa michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Jinsi ya Kucheza Aviator.
Aviator ni mchezo ambao hauwezi kufananishwa na michezo mingine kirahisi. Inamuonekano wa kasino mtandaoni na sloti, lakini bado ni tofauti.

Watengenezaji wa mchezo huu wanauita mchezo wa kijamii lakini kwenye kasino mtandaoni ya Meridianbet unaitwa Aviator au kimtaani mtaani ni mchezo wa Kindege.

Japokuwa, tatizo ni kwamba huwezi kujua muda itakayoanguka. Unatakiwa kuwa mwepesi kwenye akili na mikono yako na ubofye kitufe kwa muda sahihi ili upate zaidi.

Fanya hivi:
Unafungua mchezo na kuweka ubashiri;
Subiri kwa sekunde kadhaa mchezo kuanza;
Jiweke tayari kuanza safari ya utajiri!
Ndege itaanza kupaa itakapofikia kikomo, itakwenda juu tena kabla ya kupotea;
Lengo lako ni kupata malipo kwa muda sahihi, japokuwa hiyo ni rahisi kuisema kuliko kutenda; kuwa makini kukusanya ushindi wako kabla ndege haijaanguka.

Unatakiwa kuwa mwepesi sana. Lakini pia sio muda wote ndege itapotea kwenye malipo ya juu, inaweza kutokea muda wowote. Hii inamaanisha, unaweza kutegemea matokeo yeyote na pia teknolojia ya mchezo huu imetengenezwa katika kutoa matokeo yenye usawa na unaweza kutambua taarifa za michezo iliyopita.

Aviator inarudisha faida ya 97% kwa mchezaji. Usiitumie vibaya nafasi hii. Kama ilivyo kwenye michezo ya sloti, kila mzunguko una stori yake. Unaweza kuifikia ndege ikiwa juu au ukaikosa mwanzoni kabisa.

Tumia vizuri vidole vyako huku ukiwa na machale ya kuhisi ukomo wa ndege na hakikisha unauelewa mchezo kabla ya kuanza kufurahia kwa kulipia. Habari njema ni kuwa, mchezo huu unapatikana kwa majaribu kupitia Kasino ya Meridianbet pekee.

Unapatikana Meridianbet Kasino Mtandaoni Pekee.
Kwa sasa, sehemu pekee unayoweza kucheza Aviator ni Meridianbet kwenye Kasino ya Mtandaoni. Inapatikana katika mfumo wa majaribio au kwa kulipia. Mfumo wa majaribio ni njia nzuri ya kujaribu mchezo na kuona namna unavyofanya kazi kabla hujaweka pesa.

NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...