
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi akipokea zawadi kutoka kwa Cecil Francis Mkurugenzi wa Miundombinu Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL wakati alipotembelea banda hilo leo Julai 13,2024 kwenye maonesho ya Biashara ya 48 ya Kimataifa yaliyofungwa rasmi leo na Rais huyo viwanja vya Sabasaba Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Cecil Francis Mkurugenzi wa Miundombinu Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL wakati alipotembelea banda hilo leo Julai 13,2024 kwenye maonesho ya Biashara ya 48 ya Kimataifa yaliyofungwa rasmi leo na Rais huyo viwanja vya Sabasaba Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania TanTrade Bi Latifa M. Khamis.




Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi akipokea zawadi kutoka kwa Cecil Francis Mkurugenzi wa Miundombinu Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL wakati alipotembelea banda hilo leo Julai 13,2024 kwenye maonesho ya Biashara ya 48 ya Kimataifa yaliyofungwa rasmi leo na Rais huyo viwanja vya Sabasaba Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam. [11:30 PM,
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...