Kamanda wa Polisi (M) Kinondoni, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Mtatiro Kitinkwi (katikati) pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Oryx Tanzania, Benoit Araman (kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya G4S, Imelda Lutebinga wakizindua kampeni ya ushirikiano kati ya G4S na Oryx Gas ikiwa ni  kampeni mahususi ya kusambaza Nishati Safi ya kupikia kwa kampuni ya G4S nchi nzima,  Lengo likiwa kuunga mkono kampeni ya kumtua mama kuni kichwani iliyoanzishwa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.Hafla hiyo ilifanyika jana jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi mtendaji wa Oryx Tanzani, Benoit Araman (kushoto) akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa G4S, Imelda Lutebinga (kulia) wakati wa hafla ya uzinduzi wa kampeni ya ushirikiano kati ya G4S na Oryx Gas ya kusambaza Nishati Safi ya kupikia kwa  kampuni ya G4S nchi nzima,  Lengo likiwa kuunga mkono kampeni ya kumtua mama kuni kichwani iliyoanzishwa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.Hafla hiyo ilifanyika jana jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi mtendaji wa Oryx Tanzani, Benoit Araman (kushoto) akizungumza jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa G4S, Imelda Lutebinga wakati wa hafla ya uzinduzi wa kampeni ya ushirikiano kati ya G4S na Oryx Gas ya kusambaza Nishati Safi ya kupikia kwa  kampuni ya G4S nchi nzima,  Lengo likiwa kuunga mkono kampeni ya kumtua mama kuni kichwani iliyoanzishwa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.Hafla hiyo ilifanyika jana jijini Dar es salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...