Na Dulla Uwezo

Kikosi cha Timu ya Yanga Africans Kimewasili salama Bukoba Mjini Tayari kuzitafuta alama Tatu Muhimu, katika Mchezo wao utakaopigwa Tarehe 29 Agosti katika Dimba la Kaitaba dhidi ya Wenyeji wao Kagera Sugar Wanankurukumbi.

Kikosi Kimewasili majira ya Saa Sita Mchana na Ndege, Kisha Kuelekea mapumZiko mafupi Hotelini kabla ya Kufanya Mazoezi jioni ya Leo Tayari kukabiliana na Wakata Miwa wa Kagera.

Mapema Asubuhi ya Leo Baadhi ya Wapenzi na Mashabiki wa Timu ya Yanga Mkoani Kagera hususani Wakazi wa Bukoba wameungana katika Tukio la Kula na Kunywa Supu maarufu kama Supu Day lililoratibiwa na Uongozi wa Yanga Tawi la Bukoba Mjini, chini ya Mratibu Jamali Kalumuna (Jamco) Tukio lilikambatana na Usajili wa Wananchama wapya huku Wanachama wengine wakikumbushwa juu ya ulipaji wa Ada










Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...