Mafunzo ya kikanda ya juu ya uchambuzi wa mahitaji ya Nishati kwa eneo la Mashariki kwa Afrika ambapo umeshirikisha nchi mbalimbali ikiwemo Misri, Rwanda Kongo, Burundi Kenya, Malawi,Ethiopia, Sudan Kusini, Somalia, Uganda, Djubout na Tanzania





Na. Vero Ignatus, Arusha

Mafunzo ya wiki mbili ya kikanda ya juu ya uchambuzi wa mahitaji ya Nishati kwa eneo la Mashariki kwa Afrika ambapo umeshirikisha nchi 13 Ukanda wa Mashariki ikiwemo Misri, Rwanda Congo, Burundi Kenya Ethiopia, Malawi,Sudan Kusini, Somalia, Uganda, Djubout na Tanzania

Akizungumza Katibu wa Shirika ambalo zipo nchi hizo 13 za ukanda wa Mashariki (African Power Pool) amesema kuwa wamekuja Jijini Arusha kukutana wataalamu kwenye kongamano hilo ambapo wataangazia mahitaji yanayohitajika kwa matumizi ya nyumbani na viwandani.

Aidha amesema lengo la. Kukutana kwa ni kuweka mpango mkakati na ambayo wanaweza kukabiliana na uhitaji wa Nishati hiyo na kuisambaza mijini ni la. Kuwasahau wanaoishi vininini pia.

Akizungumza Msimamizi wa Mafunzo/Mkurugenzi wa Mafunzo Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania hayo ya Kikanda Dennis Mwalongo amesema kuwa Lego kuu ni kuwa let's pamoja washiriki kuona namna gani watatumia modeli hiyo kwaajiki ya kukadiria matumizi ya umeme kwa Mika 50 ijayo kwani katika kanda hiyo matumizi ni makubwa sambamba na watu kuongezeka

Mwalongo amesema kuwa mafunzo hayo yamefadhiliwa na Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki na Taasisi ya Kikanda ya Mashariki(Eastern African Power Pool) ambayo inahusisha mataifa hayo 13 lengo likiwa ni kushea Nishati ya umeme ambayo hutokea baada ya awali/ msingi (Primary Energy Sources)

"Mfano kutoka kwenye gesi , maji , just, na katika maeneo mengine yanayozalisha Nishati lengo letu ni kuhakikisha tunagawana nsishati hii kwani nchi moja ikiwa na Nishati nyingi unaweza kumgawia mwingine ambapo mango huo umefanikiwa Kati ya Tanzania na Kenya, Nchi ya Kenya na Ethiopia" Alisema Mwalongo.

Aidha amesisitiza kuwa wiki ya kwanza itakuwa kuwa ni yakujifunza modeli kwaajili ya kukadiria na wiki ya pili ni kwaajili ya kuingia katika nchi husika kwa kutumia taarifa zilizopo kuweza kuangalia mahitaji ya Nishati ya umeme kwa kutumia data za kidemokrafia kwa kutambua chanzo husika cha Nishati hiyo.

Kwa upande wake Mhandisi Alex Gerard Hiruka ni Mhandisi wa umeme kutoka Tanesco katika idara ya mipango amesema kuwa Mafunzo hayo ni ya kitaalam yaliyoleta nchi 13 kuangalia ni jinsi gani ya kuweza kufanya makadirio ya umeme kwa kutumia vyanzo mbaoimbali vya Nishati katika nchi wanachama

Ushiriki wao watajifunza jinsi ya kufanya makadirio demand projection ya nchi kwa kutumia amesema kwa kutimia software in a yo kwenda mbali na kuwngalia vyanzo mbalimbali kama maji, gesi,makaa ya mawe, jua upepo ili mwisho wa siku waweze kufanya mipango ambayo watahakikisha kuwa wana vyanzo mbalimbali vyanzo kufua umeme kwaajiki ya kuepuka mabadiliko ya tabianchi.

Vilevile amesema kuwa nchi za ukanda wa. Mashariki wanaunganisha migumo yao ya umeme kwa kujenga transmission line kama Kenya Tanzania, Tanzania Zambia,watashirikiana na nchi ya Uganda tayari wameshamaliza upembuzi yakinifu, vilevile wana mpango wa kuunganisha DRC Congo,Malawi ,Rwanda, Burundi ili watakapokuwa na upungufu wa umeme wanaweza kuwauzia.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...