KUTANA na nguruwe watatu pamoja na mbwa mwitu ambao asili yao ni kutoa pesa kwa kila mzunguko wa kasino unaoucheza, hakikisha unafatilia maelekezo ya sloti hii kabla ya kuanza kucheza.

Big Bad Wolf Pigs of Steel ni sloti ya kasino ya mtandaoni kutoka kwa mtoa huduma QuickSpin ambapo kwa mara ya kwanza inapatikana Meridianbet pekee na ili kucheza unatakiwa uwe umejisajili na Meridianbet.

Sloti hii ya kasino ya mtandaoni ina nguzo tano, safu tatu na ina mistari 25 ya malipo. Ili kupata ushindi wowote, ni lazima upate alama tatu au zaidi zinazofanana kwenye mfululizo wa ushindi.

Mchanganyiko wote wa USHINDI unahesabiwa kutoka kushoto kwenda kulia, kuanzia nguzo ya kwanza kushoto.

Pia mchezo huu wa KASINO YA MTANDAONI una chaguo la kuongeza dau kwa kila mzunguko. Unaweza kufanya hivyo pia kwa kubonyeza kitufe cha picha ya sarafu. Lakini pia unaweza kuweka hadi mizunguko 1000 kwa pamoja kwa wale wapenzi wa michezo ya haraka huu ndiyo mchezo wao.

Alama za Malipo ya Ushindi.

Katika kasino ya mtandaoni hii malipo madogo hutokana na kuonekana kwa alama hizi:10, J, Q, K na A.

Miongoni mwa alama zenye nguvu za malipo ya kati ni shoka na tofali lenye daruki.

Nguruwe watatu wanaleta thamani kubwa ya malipo kati ya alama za msingi, na ile inayojenga nyumba ya tofali ndiyo yenye thamani kubwa zaidi.

Jokeri inawakilishwa na seti ya zana katika sanduku la dhahabu. Inachukua nafasi ya alama zingine zote, isipokuwa sketa na mwezi, na kuwasaidia kuunda mchanganyiko wa kushinda.

Hii ni alama yenye thamani kubwa zaidi ya mchezo, na wilds tano kwenye payline hulipa mara 40 ya dau.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...