Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Cyprian Luhemeja
akizungumza na Watanzania ambao wanashiriki Mkutano wa 29 wa Kimataifa
wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Mabadiliko ya Tabianchi unaofanyika
mjini Baku, Jamhuri ya Azerbaijan kuanzia Novemba 11-22,2024.Mha.
Luhemeja amesisitiza washiriki hao kuwa Wazalendo kwani nafasii
waliyoipata ni adhimu hivyo watumie wakati wote kuhakikisha wanafanya
kazi kwa bidii na hivyo kupeleka matokeo chanya nchini.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...