TUNAPOSEMA kua Meridianbet haijawahi kuitupa jamii yake tunamaanisha kwani leo wataalamu hao wa michezo ya kubashiri wamefika eneo la Kimara Mwisho na kutoa msaada wa jezi za mazoezi.
Meridianbet wamefanikiwa kutoa jezi kwa kikundi cha Jogging kinachofahamika kama “KIMARA JOGGING STAR CLUB” ambapo kikundi hichi hua kinafanya mazoezi ya kukimbia kwajili ya kuweka mwili sawa na kuimarisha afya zao na leo wameweza kupatiwa jezi ili kuendelea kufanya mazoezi.
Huu umekua ni utaratibu wa miaka mingi kwa kampuni hiyo mabingwa wa michezo ya kubashiri Meridianbet wamekua wakihakikisha wanarudisha kwa jamii yake ambayo imekua inawazunguka, Huku leo ni Kimara Mwisho ndio wamekua wanufaika wa kile kilichotolewa na Meridianbet.
Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano Meridianbet Bi Nancy Ingram alipata wasaa wa kuzungumza machache kwenye hafla hiyo "Meridianbet tunaambua na tunajua umuhimu wa kufanya mazoezi maana mazoezi ni afya, na kufanya mazoezi kunakukinga dhidi ya magonjwa mbali mbali, na pia kama mdau mkubwa wa michezo tumeona ni muhimu klabu hii kupata vifaa hivi vya mazoezi ilikuweza kuimarisha afya zao”
Halikadhalika wakazi wa Kimara Mwisho nao wamefurahishwa kwa kiwango kikubwa kutokana na msaada ambao Meridianbet wameutoa kwao, Kwani wameeleza utaendelea kufanya waendeleaa kufanya mazoezi na kuvutia hata watu wengine pia kujiunga nao kujenga afya zao.
Endelea kufurahia kubashiri na Meridianbet mabingwa wa michezo ya kubashiri ambao wanatoa ODDS BOMBA kuliko mahala pengine, Lakini pia machaguzi mengi zaidi ya 1000 Bashiri sasa michezo itakayopigwa wikiendi hii uweze kupiga mkwanja.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...