Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeendelea na kampeni yake ya kutoa Elimu ya kodi kwa kupita mlango kwa mlango wa maduka katika mitaa ya Sokoni na Gineri Singida mjini kwa lengo la kuwaelimisha wafanyabiashara umuhimu wa kulipa kodi,kusikiliza changamoto na kupokea maoni yao juu ya masuala ya ulipaji kodi.








Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...