
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya uzinduzi wa Kituo cha Kisasa cha Ukaguzi na Upasishaji wa Gari Dole Kwasilva, uzunduzi huo uliyofanyika leo 11-2-2025 katika eneo la Dole Wilaya ya Magharibi “A” Unguja.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akitembelea Kituo cha Kisasa cha Ukaguzi na Upasishaji wa Gari Dole kwasilva Wilaya ya Magharibi “A” Unguja, akimsikiliza Mratibu wa Mradi wa Kituo cha Ukaguzi na upasishaji wa Gari Dole kwasilva Kim Lee, (kushoto kwa Rais) akitowa maelezo na (kulia kwa Rais) Muwekezaji Mzalendo wa Kituo hicho cha Kisasa Mhe. Toufiq Salim Turky. baada ya kukifungua leo 11-2-2025 kilioko katika eneo la Dole Wilaya ya Magharibi “A” Unguja.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...